MSAADA KWA WA MAWAZO KIDOGO

Joined
Jul 14, 2018
Posts
36
Reaction score
7
Hivi haya majina yana yo sambaa mitandaoni mbona kinachoandikwa ni tofauti na kichwa cha habari maana ukifungua link unaambiwa haya ndio majina ya walichaguliwa labla mfano SUA lakini ukifungua unakutana na majina wanatakiwa ku comfirm hadi sasa hivi wanasema vyuo vyote wamesha tangaza majina ya waliochaguliwa lakini ukienda chuo husika hizo habari hakuna hivi ni kweli vyuo vyote vimesha tangaza majina ya walichaguliwa na vipi mbona kuan wengine mpaka sasa hv hawajapata codes au me ndio sielewi mwezenu je mtu yeyote mwenye ufanuzi wa hayo mambo maana me nimeshidwa mfano mzuri SUA nimeambiwa wameshatangaza majina lakini link yao nitofauti na kinacho semwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…