Salaam Doctors na wadau...ninatatizo la kuwashwa ilianza tumboni na miguuni na sasa matakoni na mapajani.Mara nyingi ikifika jioni ndio inaanza.Nimetumia dawa za allergy imegoma..nimetumia za kichina pia mpaka baadhi za kupaka lakini wapi.Nimetumia za minyoo pia lakini wapi.Naombeni msaada