Msaada kwa simu ya Note 2

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,068
Reaction score
5,559
Note 2 yangu, haifungui code mbalimbali za mitandao ya kijamii. Kwa mfano, ninatumia laini ya tiGO lakini nikitaka kununua vifurushi(nikibofya *148*00#) haifungui. Inakubali code hizi zifuatazo, *102# na *102*02#, zingine zote hazikubali. Mwenye ujuzi juu ya suala hilo ninaomba anisaidie.
 
Ni note two ndo maana inakubali zenye mbili mbili tu
 

Nenda.....ktk app management.... Nenda ktk "phone" clear data..... Disable.... The enable.... Alafu wakati una dial... Wait hizo USSD code zi run..... Fanya hivyo ikishindikana njoo tena.
 
Nenda.....ktk app management.... Nenda ktk "phone" clear data..... Disable.... The enable.... Alafu wakati una dial... Wait hizo USSD code zi run..... Fanya hivyo ikishindikana njoo tena.

Shukrani kwa msaada, ila imeshindikana kwa procedure ulizonipatia. Labda kama kuna namna nyingine tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…