Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,161
- 6,304
doh powa mkuu,tajaribuBadilisha Keyboard
At first zilianza zote hazifanyi kazi lakin saiv baadhi tu ndo zinafunction.Mkuu tatizo lilianzaje? je kuna baadhi zinafanya kazi?
Doh poa,mkuu ntachek though naitegemea pc iyoiyo ndo nichek youtube then i will find other way.check youtube unaweza kukuta issue ni ndogo sana
Inavoonesha inawezekana kuna maji ya mvua yaliingia ndani yake mana nliacha karbu na dirisha then kuna siku mvua zilinyesha nami sikuepo.so nahisi itakuwa ni ivo mkuu,vp naitibu vp tafadhali.Mkuu hiyo PC ulimwagia chai au maji kwenye hiyo keyboard?
Ivo eh,lakini mkuu ishu inakuja kwenye kuifungua mana sijawahi then sielew ntaanzia wap au naogopa kuiharbu.vp naweza kuktafta kam upo hapa dar.unisaidie?hapo tatizo hamna wala usipanic... hiyo keyboard imelegea mkanda kwa hapo ndani.. cha kufanya fungua na usokomeze vizuri mkanda halaf funga.. lazima isome!
nishatibu nyingi za hivyo..!
daah.. nipo dodoma mkuu... ila em jaribu kuulizia humu kama kuna aliye karibu hapo akuwekee vizuri... sio tatizo kubwa ni kidogo tu sema we hukuwahi kufungua so sikushauri mtafute mwenye idea...Ivo eh,lakini mkuu ishu inakuja kwenye kuifungua mana sijawahi then sielew ntaanzia wap au naogopa kuiharbu.vp naweza kuktafta kam upo hapa dar.unisaidie?
Poa thanks sana,boss..for your help.daah.. nipo dodoma mkuu... ila em jaribu kuulizia humu kama kuna aliye karibu hapo akuwekee vizuri... sio tatizo kubwa ni kidogo tu sema we hukuwahi kufungua so sikushauri mtafute mwenye idea...