J JB MUNA Senior Member Joined Dec 24, 2012 Posts 147 Reaction score 17 May 29, 2013 #1 Wana JF naomba kuuliza simu ya Nokia 200 haina uwezo wa kudownload huduma ya WHATSAPP? NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU!
Wana JF naomba kuuliza simu ya Nokia 200 haina uwezo wa kudownload huduma ya WHATSAPP? NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU!
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 May 29, 2013 #2 nop! Asha za lyn 1 ndo znasuport whatsapp Ila Jarbu Kudownload Hii Kitu Kwanza Maana Mm Mwenyewe Cjaitest ... ila Nikikutangulia kuitest Ntakupa Feedback Soon Maana mdogoangu ana Hii Smu Lazma N Jarbu kama Ita Work! Whatsapp For Nokia 200
nop! Asha za lyn 1 ndo znasuport whatsapp Ila Jarbu Kudownload Hii Kitu Kwanza Maana Mm Mwenyewe Cjaitest ... ila Nikikutangulia kuitest Ntakupa Feedback Soon Maana mdogoangu ana Hii Smu Lazma N Jarbu kama Ita Work! Whatsapp For Nokia 200
J JB MUNA Senior Member Joined Dec 24, 2012 Posts 147 Reaction score 17 May 29, 2013 Thread starter #3 Kaka itest basi kama itakubali ndugu yangu!
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 May 30, 2013 #4 haina hiyo kitu mm nilikuwa nayo nilihangaika sana kudownload lakini ikagoma.ila jalibuni coz ujuzi unazidiana bana.
haina hiyo kitu mm nilikuwa nayo nilihangaika sana kudownload lakini ikagoma.ila jalibuni coz ujuzi unazidiana bana.