MSAADA KWA NGOs

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Nina NGO yangu inaitwa Changamoto Youth Development Organization,bado ni changa hivyo nahitaji msaada wa kupata wafadhiri watakao nisaidia kuiendeleza,najua wadau wa Jf wapo wanamiliki NGOs na zimefanikiwa hivyo wakinipa connection ya kupata wafadhiri nitafurahi sana.
Kwa kuifahamu zaidi NGO yangu pitia web hii www.changamotoyouth.com
asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…