Aaah maana muhimu sana hii pia si inaweza kufuta firmware za simu na passwordBonyeza hapo juu option ya kwanza imeandikwa "Installer images-Recommended" then itaji scroll down utaona kimshale cha download na neno 4.1GB chagua hicho.
NB: Setup ina GB 4.1 bando lako tu Mzazi.
Get Kali | Kali Linux
Home of Kali Linux, an Advanced Penetration Testing Linux distribution used for Penetration Testing, Ethical Hacking and network security assessments.www.kali.org
Elezea zaidi.Aaah maana muhimu sana hii pia si inaweza kufuta firmware za simu na password
Inaweza na hata ukitaka kuhack pia inawezaAaah maana muhimu sana hii pia si inaweza kufuta firmware za simu na password
Inaweza na hata ukitaka kuhack piaAaah maana muhimu sana hii pia si inaweza kufuta firmware za simu na password
Anakulipa shingapiOKTOBA TUNA ✔️
Ila nakushauri ukitaka kuenjoy kali Linux angalau pc yako iwe na ram 8 na proce..core 3iHabarini wakuu
Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka.
Kama kuna anayejua sehemu salama ya kudownload (labda link rasmi), au kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kuinstall, nitashukuru sana.
PC yangu ni[ hp RAM 2]
Pia kama kuna thread tayari ina maelekezo, naomba mnisaidie link.
Asanteni sana
Ananilipa maendeleo ninayoyaonaInaweza na hata ukitaka kuhack pia
Anakulipa shingapi
Ananilipa maendeleo ninayoyaonaInaweza na hata ukitaka kuhack pia
Anakulipa shingapi
tumia kali linux, ingekuwa kama dev hata fedora ni nzuriWakuu Na mwenye link ya ubuntu atupie umu ili niweze kuipata kirahisi
Ndio na inafanya vizuri kwa pc za zamani au zenye uwezo mdogoKuhusu ubuntu nayo os yake kwa begginers inafaa?
CCM hata uweke jiwe litapigiwa kura maana kura zipo tayari zinasubiriwa kutolewa tu muda ukifikaOKTOBA TUNA ✔️
Zipo tayari umeziandaa wewe?CCM hata uweke jiwe litapigiwa kura maana kura zipo tayari zinasubiriwa kutolewa tu muda ukifika
Mtwara mgombea wa CCM alisema. Unipigie kura usiponipigia mimi napita kwa 100%. Yule jamaa alipitaZipo tayari umeziandaa wewe?
Kwa nini asishinde kama anakubalika?Usipomkubali wewe kuna wengine wanamkubali.Ondoa shaka twende uwanjani oktobaMtwara mgombea wa CCM alisema. Unipigie kura usiponipigia mimi napita kwa 100%. Yule jamaa alipita
Hivi kwa akili yako, Babu Tale anaweza kushinda ubunge?