king khalfan
Member
- Feb 5, 2013
- 70
- 21
Naomba msaada WanaJf kwa mwenye kujua juu ya cm hii HTC Desire A8181 imekuwa na tatizo la jina kujirudiarudia. Mfano. John basi linajirudia kama mara 5 hv n.k. mwenye ufahamu tafadhali knoweledge yako muhimu.
Kujirudia kivipi fafanua
Haina virusi fanya setting vizuri na hiyo kuonyesha lowspace ifungue then punguza hizo programe mm natumia hii cm