Habar zenu wanathnker kwa muda kidogo nilikuwa nipo off air hii ni kupambana na hal ya maisha ya hapa na pale ili kutimiza kaul ya wazir kila mtu atakula kwa jasho lake. 2achane la hlo kubwa kuliko lote ninajiran yangu wa kike alikuwa na mahusiano ya muda mrefu na kijana mmoja wa kinaijelia. Sasa imefikia ha2a za uchumba yule kijana anamwambia huyu msichana aache kaz aliyokuwa akifanya. Na ukichek huyu dada hyo kaz ndo inampa mlo na maisha na inahudumia hata nyumban kwao. Na huyu kijana wa kinaijelia hana msaada wowote anaopeleka kwake yule msichana na kipato alichonacho huyu kijana wa kinaijelia hakinamsaada wa kutosha kwa huyu msichana. Na anamwambia akiacha kaz ndo atamuoa na hataki anafanye kaz yoyote sasa yeye anaomba msaada na maisha yalivyo magumu afanyeje na anampenda huyu mwanaume-
Yaani aache kazi ili aolewe, sasa muulize huyo rafiki yako kipi bora kwake at this time kuacha kazi ili aolewe au kazi ndio ndio muhimu kwake kuna vitu vingine unaweza ukavitolea uamuzi bila hata ya kuumiza kichwa mwambie aendelee na kazi yake wanaume wapo wengi na kama ni ishu ya kuolewa ataolewa tu
Au ndio ameishalewa mapenzi ya kinaija haambiwi wala kusikia la mtu ila kwa vile umeishamwambia wee kaa pembeni mkuukaka nimejarbu kumwambia hvyo hvyo ya utazan hujakosea lakin wap nikamwambia
Au ndio ameishalewa mapenzi ya kinaija haambiwi wala kusikia la mtu ila kwa vile umeishamwambia wee kaa pembeni mkuu
Hadi hapo kuna mapenzi lakini sio ya dhatim hata kidogo.... Maana mapenzi ya dhati yangekuwepo hata hilo swala lisingefika huu JF because automatically decision zingetokea bila kujadili....
Maana hachelewi kusema unamuingilia katika private issue zake utashangaa siku ya siku kamfikishia jamaa yake habari then wewe ndio unaonekana ndio chanzonitafanya hvyo ila maisha ya kwao pale yan kusema ukwel yanasikitisha kama akiacha kaz mana yeye ni nguzo moja wapo ila okay ninafata ushaur wako
Sasa mume mtarajiwa hawezi kumtunza alafu aache kazi ili iweje??
Mwambie anangalie kipi bora kati ya kua na ndoa wakati anakufa njaa au kuishi kwa kubangaiza au kubaki bila ndoa kwa sasa akiwa na uhakika wa kuishi!!1
Alafu namshangaa kweli huyo dada...mpaka aombe ushauri kwa kitu kama hichi sijui nimchukulie vipi!:smash:
inawezekana ndo plan ya jamaa lakn nilikuulza huyu bnt kuhusu hlo akasema hilo jamaa hanampango wa kwenda huko nigeria