allydasmartboy
Member
- Jul 14, 2018
- 36
- 7
wanangalia first choice hususani hapo udom na ushindani uliopo kwenye hiyo choiceJamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa nafasi SUA na UDOM wakati kuna wenzao wenye three wamepata tena kwa maajabu wote walijaza course sawa hv system ya mwaka huu ipo je???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna ndugu ina maana wote wamekosea code katika mfano hapa shuleni kwetu two zipo 18 ila wote wamekosa chuo lakn kwa maajababu 3 ya 13 na 14 baadhi zimepata chuoiko hivi..hao ndugu zako watakuw wamekosea kujaza detail..yaan hata kama kuweka namba ya sim..system inakutema......kama walichagua chuo kimoja watatumiwa code
Comb gan aoHamna ndugu ina maana wote wamekosea code katika mfano hapa shuleni kwetu two zipo 18 ila wote wamekosa chuo lakn kwa maajababu 3 ya 13 na 14 baadhi zimepata chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachoangaliwa ni ushindani katika kozi husikaHawaangalii division 1 wale
Washkaj zangu wana 3 za 13 wameenda UDOM wamewaacha kitaa wa 1 na 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kukosa mayb wote wanavigezo vinavyotakiw kwakozi husika sasa hapo atachukulia wowote kati yaoHamna ndugu ina maana wote wamekosea code katika mfano hapa shuleni kwetu two zipo 18 ila wote wamekosa chuo lakn kwa maajababu 3 ya 13 na 14 baadhi zimepata chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaangalii division 1 wale
Washkaj zangu wana 3 za 13 wameenda UDOM wamewaacha kitaa wa 1 na 2
Sent using Jamii Forums mobile app