Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,495
unamjibu nani?😱😱😱😝Ujinga gani ndugu?
Sorry mimi sio mzoefu hapa nilikuwa majibu troll jf
unamjibu nani?😱😱😱😝
Dogo komaa saaaanaaaaa.Shikamooni wakubwa zangu. Mimi ni kijana wa miaka kumi na tisa msingi kidato cha 6 mwaka huu mchepuo wa pcm.Iwapo kama mtihani wa kidato cha 5 ungekuwa ni necta basi mi ningesha jipatia div 3 huko japo sio malengo yangu na naamini pia sio uwezo wangu. I believe am better.na sijakata tamaa.i believe in the remaining one year I can make changes. lakini mtihani wa mwezi wa Desemba mwaka jana sikupata matokeo mazuri pia na nikajitahidi kufanya vizuri mwaka huu. I considered reasons behind my failures but the same happened this year that is lack of cooperation with my class mates together with others.In spite of knowing reasons for my failures I come to ask for your advice so I can know more concerning my problem from you. I bought many books but they keep on helping my fellows who borrow to me.i need an advice from you from any who passed through the same situation am passing through cause kwenye mazingira nayoishi hakuna wasomi ambao ningeweza kuwaeleza tatizo langu. I put forward my thanks to all that will advise me here and God will bless you
asante nashukuru sana
Komaa tu mdogo wangu utachomokaa hayo ndio matokeo ya kawaida mwanzoni ukiingia A level.
Ukishachagua mchepuo wa sayansi kukomaa kunakuhusu, weka malengo kila siku ama wiki kwamba unataka ku-cover topics ngapi na hakikisha unazimaliza na umezielewa vizuri ukifuata syllabus usisome tu kama kipofu.
Ukifanya hivyo we mwnyw utaona mambo yananyooka balaa mpaka waeza hisi mitihani inatungwa na shemeji.
Usikasirishwe na majibu ya mtandaoni, kuna watu wenye hulka anuwai. Jambo la msingi katika kujifunza ni kujitambua, ukisha jitambua utambue pia kwa nini unasoma. Swali la msingi ni why am I studying? Maana yake ni, what is the end of my education? Masomo siku zote ni rahisi kama ukisikia naa kusikikiza. Ni magumu pia endapo unatumia nguvu kusoma badala ya uwezo uliopewa na Mungu. Soma kwa kuelewa, usisome kwa kukariri ili ushinde mitihani. Ukielewa unachofundishwa it follows, utafaulu vizuri.Shikamooni wakubwa zangu. Mimi ni kijana wa miaka kumi na tisa msingi kidato cha 6 mwaka huu mchepuo wa pcm.Iwapo kama mtihani wa kidato cha 5 ungekuwa ni necta basi mi ningesha jipatia div 3 huko japo sio malengo yangu na naamini pia sio uwezo wangu. I believe am better.na sijakata tamaa.i believe in the remaining one year I can make changes. lakini mtihani wa mwezi wa Desemba mwaka jana sikupata matokeo mazuri pia na nikajitahidi kufanya vizuri mwaka huu. I considered reasons behind my failures but the same happened this year that is lack of cooperation with my class mates together with others.In spite of knowing reasons for my failures I come to ask for your advice so I can know more concerning my problem from you. I bought many books but they keep on helping my fellows who borrow to me.i need an advice from you from any who passed through the same situation am passing through cause kwenye mazingira nayoishi hakuna wasomi ambao ningeweza kuwaeleza tatizo langu. I put forward my thanks to all that will advise me here and God will bless you
Oyaaa unazingua mkuu we kwenye kila thread unamlet mnyete kwan kakudhulum shiling ngap tukutumie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muda huu unachat nakuandika kuomba ushauri wenzako wako kukamia Ali abdarah fluid Na mechanics wewe unakuja kuongea naakina Nyete humu toka nenda katoboe nyambafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawasawa nimekupata pcm sio mchezo kweli aisee
Dogo komaa saaaanaaaaa.
pcm sio ya kitoto kiivyo bhana.
Jitahidi tu mdogo wangu.
Ukisema unaweza upo sahihi.
Na ukisema hauwezi upo sahihi pia.
So angalia kipi unasemaa
First of all,achana kabisa na social media. Mpaka utakapomaliza shule. Then komaa na kusoma.Shikamooni wakubwa zangu. Mimi ni kijana wa miaka kumi na tisa msingi kidato cha 6 mwaka huu mchepuo wa pcm.Iwapo kama mtihani wa kidato cha 5 ungekuwa ni necta basi mi ningesha jipatia div 3 huko japo sio malengo yangu na naamini pia sio uwezo wangu. I believe am better.na sijakata tamaa.i believe in the remaining one year I can make changes. lakini mtihani wa mwezi wa Desemba mwaka jana sikupata matokeo mazuri pia na nikajitahidi kufanya vizuri mwaka huu. I considered reasons behind my failures but the same happened this year that is lack of cooperation with my class mates together with others.In spite of knowing reasons for my failures I come to ask for your advice so I can know more concerning my problem from you. I bought many books but they keep on helping my fellows who borrow to me.i need an advice from you from any who passed through the same situation am passing through cause kwenye mazingira nayoishi hakuna wasomi ambao ningeweza kuwaeleza tatizo langu. I put forward my thanks to all that will advise me here and God will bless you
Hakika mkubwa naziona effect zake
First of all,achana kabisa na social media. Mpaka utakapomaliza shule. Then komaa na kusoma.