Habari zenu wote wanajanvi katika jukwaa letu pendwa, naamini kabisa hapa ndio mahari ambapo tunapata suruhisho na mwongozo ufaao tunaouhitaji.
Moja Kwa moja kwenye maada , nina mwanangu wa Kwanza miaka miwili ni binti tangu amezaliwa amekuwa akipata upele ambao ni kama ameng'atwa na mbu au kiroboto baada ya siku mbili ivi unatoa maji maji na sio usaha baada ya siku kama 5 au 6 upele huo unapona wenyewe , kisha akitulia kidogo umekuwa unajitokeza upele mwingine wakati mwingine unaambatana na vibalango na vishilingi.
Mwanzoni nilihisi kuna wadudu wanamng'ata usiku na kumletea iyo adhaa lakini nikagundua hapana ni magonjwa ya ngozi yanamsumbua .
Nilipoenda hospital Kwa mara ya Kwanza niliambiwa anamchafuko wa damu so kuna dawa alipewa lakin hakupata upono.
Wakati mwingine nilimpeleka na akapewa dawa kama clotrimazole, gentamicin na sk derm ambazo zimekuwa zikipunguza tatizo na baadae kujirudia.
Ombi langu ni msàada wa kimawazo ,dawa madukani au dawa za kienyeji zinazoweza kumsaidia kumaliza tatizo Hilo.
Naamini jf hakuna kisichowezekana
Ahsanteni sana
Uzi umeambatanishwa na picha