I think inategemea na huyo unayemuagiza anatoa wapi,mwambie kabisa atafute unlocked.na pia inategemea unaagiza ngapi(business or personal uses),kama ni ya kwako tu ku'unlock sio ishu sana hata mtu anaweza kukusaidia but kama ni kwa ajili ya kuuza itabidi tu uingie gharama kisela.But anza na option one coz sim nyingi siku hizi zinaingia unlocked tayari