Mengne tunajitakia tu hivi we mpaka unatafuta mke unakuwa na matatizo gani ulio soma nao unao ishi nao mtaani kwenu kazini kwako kanisani/msikitini hujaona mpaka utafute kiasi cha watu ndo wakuunganishie
Alidhani mama yake huyo hadi awe peke yake. Kwanza inakuwaje utafutiwe mke ama wee ni msukuma?. Unaumia nini ilhali umemkuta si bikra ulimuuliza akwambie waliomuweka kuwa hivyo. Acha kujiumiza.