ema mponzi
Member
- Sep 21, 2018
- 5
- 1
Kwa waliomba chuo cha ifm diploma au certificate kuna ambaye ameshapata joining instruction mana mimi nimeenda sana pale wananiambia bado na tayari kwenye account yangu walithibitisha nimechaguliwa msaada hapo mana wanasema week hii ni ya registration ila sielewi kabsaa jamani msada hapo kwa ambao wanaweza kunipa ushauri