Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa nafanyaje meandikiwa hivi
Yes, Kwamba akatae nafasi alioikubal uko chuo kimgine ili Huku mzumbe wamfikirie lakini ajue anaweza akakosa so ni maamuz yake achague patapotea, Washenz sana nakushaur achana nao Mzumbe usije ukakosa vyote.
Dah na mm ndo nilivoelewa hivolakn Sasa hamna chuo nilichochaguliwa dirisha la kwanza ndo niliamua kurudia la pili Sasa nashangaa wanavoniambia Ivo meshindwa kuelewa an

Angalia vizuri kwenye admission account zako za vyuo ulizoapply unaweza ukawa selected, system za udahili za vyuo zinacommunicate na system ya TCU hivyo ukiomba chuo chengine itaonyesha uko selected