Msaada: Kwa C/C++ programmer

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,290
Reaction score
13,714
kuna program ya kuchakata matokeo ya uchaguzi inajosoma dat kutoka kweny txt file... nimecompile haionyeshi error but niki run haioneshi ouput.. unaweza kuipitia kupitia
https://drive.google.com/folder/d/0B-MoHmmQ3RuxUmlseXpCTkoxTVU/edit
 
kuna program ya kuchakata matokeo ya uchaguzi inajosoma dat kutoka kweny txt file... nimecompile haionyeshi error but niki run haioneshi ouput.. unaweza kuipitia kupitia
https://drive.google.com/folder/d/0B-MoHmmQ3RuxUmlseXpCTkoxTVU/edit

Mkuu nimepitia code yako very fast, sijajaribu kuirun, ila labda nikushauri kitu kimoja, You can easily solve your problem kwa kufanya very simple debugging, kugundua exactly where your code reaches.

Mfano kwenye method yako "getCandidateName()" You could easily check kama imeitwa na imerun vizuri from your main function kwa kuweka
"cout << input" kuona kama kweli ume-read file...

Then kwenye hizo sorting na searching algorithms zako you could simply "cout" ndani yake kucheki kama zina-stop coz unaweza ukawa umekosea sehemu ukajikuta your loop doesn't terminate, kama you don't test you might never find out.

Try n see, ikikushinda then i might come n try to look at your code more carefully kuona wapi pana shida.
 
waheed Sunday mbona nina function ya printResult ambayo nime I call kwenye mai function
 
waheed Sunday mbona nina function ya printResult ambayo nime I call kwenye mai function

Mkuu kwenye hiyo function ya printResult hakuna sehemu unapo call hiyo function iprint kwenye text format file yaani nilitegemea kwenye hiyo function nikutane na stream class ya ku write file (ofstream) , so function yako imekosa stream class ya ku write to file outputs zako in text format (.txt) mfano hapa chini
int main () {
ofstream myfile;
myfile.open ("example.txt");
myfile << "Writing this to a file.\n";
myfile.close();
return 0;
}
 
ngoja nifanye approach yako but
nimetumia fstream na kwenye main function kuna
ifstream infile
infile.open("candData.txt"); pia na voteData.tx kama nisipoeka hizo .txt file program ina run
 
waheed heb som code zang udesign upya

Mkuu me sijai run kwenye compiler yoyote ila nategemea kuwa function ya printResults ndo itakuwa inafinallize kila kitu after executed programme nzima, so hapo ndo nilitegemea utakuwa umeweka hizo stream class za ku write hilo text file lakini umeandika nje ya hiyo function, kwa hiyo hiyo stream class itakuwa inafungua file ambalo haijui inalitoa kutoka kwenye data zipi unless hebu niambie mtiririko wa code zako zinavyofanya kadhi ili niweze kuzifuatilia ikiwezekana niweke kwenye compiler
 

Lengo la program ni kutoa matokeo kulingana na kura zilizopigwa kuna na librariea ninazo tumia ni iostream string na fstream(ifstream) hasa kuna initializer func ambayo ina initialize data kweny two dimensional array to 0 kuna print header kwa ajili ya header kun printResult kun processVote pia nina binary search and sorting algorithim kwa ajili ya kusoma na kuandika kwenye array
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…