jabarijoka
Member
- Jul 5, 2020
- 23
- 20
Kuna wimbo ulioimbwa na msanii kutoka Kenya unaongelea mafisadi. Kiitikio chake ni "Sitasimama maovu yakitawala"

Nisaidieni jina la nyimbo iyo na jina la msanii
Nautafuta sana


Nisaidieni jina la nyimbo iyo na jina la msaniiNautafuta sana

