Msaada kwa anayeifahamu kozi ya Actuarial Science

Nasema hivi kwa udsm anaenda mtu wa PCM&PGM tu kusoma actuarial science tena one Kali Sana no argument and case closed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Actuarial wengi tumesoma EGM bro,japo pcm na pgm nao wanachukuliwa, ila huwezi kutana na ishu yoyote ya physics chemistry au geo kuanzia mwaka wa kwanza hadi unamaliza chuo , ni Finance ,mathematics na statistics( probability ya standard gauge [emoji23][emoji23] . Kuhusu swala la ajira zipo nyingi wewe tu na akili zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakupinga,maybe chuo kingine,but kwa Udsm wengi ni PGM na PCM Mimi nimejionea na Kama ni egm ujue amepasua sana mathematics na pia kapiga one Kali.

~A Philanthropist|£conomist|Business Consultant|Agribusiness Value Chain Analyst|Entrepreneur|Agricultural Applied Economics Analyst&Natural Resources Economics Mentor.Psalms[83:18].
 
Perfectly: for EGM
-One kaliiijii
- Banda la hesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udsm akuna walopokaji Kama wewe,wakati majamaa zangu wengi wenyeone za Saba walitemwa what for kalale.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
By the way Mimi sio mtanzania

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
By the way Mimi sio mtanzania

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
ndio maana no need to argue with you but unavyooneka kama unatoka mkoa furani hivi coz udsm ina watu na watu you know
 
Nikweli kbxaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…