Umeshapata kazi au ndo umeitwa kwenye interview ? Kama wamekuita kwenye interview nakushauri uende kwanza ukafanye na ukishapata ndo urudi kuja kuulizia mishahara yao.
Mazingira yao ya kaz ni ya kawaida..brac hawana credit officer bali wanaita community organizer(CO). Mishahara yao inategemea na elimu yako...mf.kuna aliemaliza form 4,6,certificate,diploma,degree kila mtu ana salary yake japo majukumu ya kazi ndo hayo hayo! Wale ni wabangladesh ni wabahili kiasi! Mshahara unaanzia laki mbili mpaka laki 3 na nusu! Hawaongezi zaid ya hapo
Nashukuru sana kwa taarifa
UnadhaniLaki 3 graduate? Huu ni unyonyaji. Nadhani kuna haja ya kuwepo na kima cha chini cha mshahara kwa kila level ya elimu