Msaada kwa ambaye ameapply SUA mini-application wondow for undergraduate

Msaada kwa ambaye ameapply SUA mini-application wondow for undergraduate

Kingubwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
238
Reaction score
207
Wakuu naomba msaada nimefungua account ya maombi sua nimefuata taratibu zote wakanipa control number nikalipia.

Baada ya hapo nika log in lakini ile dashboard inasoma 2018/2019 sasa naomba kuuliza kwa ambaye ame apply...

Je ndo ipo hivyo au mimi nimeingia sehemu ambapo sio sahihi

Msaada tafadhari,nawasilisha.
 
Ndo sijaelewa lakini wameandika kabisa mini application window ila ukifuata link kule chini inaandika
©2018
 
Ndo sijaelewa lakini wameandika kabisa mini application window ila ukifuata link kule chini inaandika
2018
Hiyo 2018 maana yake copyright 2018 hiyo page imetengenezwa 2018.. Ma IT wamesahau kubadilisha au bado hawaja update page
 
Hiyo 2018 maana yake copyright 2018 hiyo page imetengenezwa 2018.. Ma IT wamesahau kubadilisha au bado hawaja update page
Sawa ila kwa juu kulia imeandikwa 2018/2019
Ndo nimechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom