Msaada kwa ambae aliye na JOINING INSTRUCTION ya TIA

george lucian

Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
10
Reaction score
5
Jamani msaada wana jf kwa ambae anayo joining instruction ya chuo cha TIA ya dar, maana kuna kijana wangu kachaguliwa hapo.
Anasema akiingia kwenye website yao wanamletea ya mwaka Jana.

Nitangulize shukurani kwenu wana jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…