Msaada kwa alieelewa hapa,kila nikiifungua hii app inaandika hivi

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
1edb28d44c920b67147e5f7a96512ea4.jpg
 
Hiyo simu umenunua kutoka wapi? Bila shaka unapata hiyo msg kwa sababu ya usalama wako. Ku root simu ni kama ku-jail break kunakofanyika kwa Iphone japo sio exactlly. Nakushauri umwone mtaalamu kwani hata ukii-set kwenye factory settings haitaondoa tatizo.
 
Hiyo ni kwakua simu unayoitumia imekua rooted, yaani umeamua wewe ndiye uwe mwamuzi wa nini kitokee kwenye simu yako na nini kisitokee. Hivyo muamuzi halisi (ambaye anakua ni mtengenezaji wa hiyo simu mfano tecno, samsung, lg, itel, sony n.k) anakua hana tena mamlaka.

Hapo simu yako inataka umrudishie mamlaka yule muamuzi halisi, hivyo ukiunroot utamuwezesha muamuzi halisi kurudishiwa mamlaka yake na wewe utaweza kutumia m pesa.
 
Watenngenezaji wa app ya M-Pesa hawataki itumike na simu iliyokuwa rooted.
So inabidi uchague 1) Uninstall hiyo app na achana nayo 2)Ondoa root 3) Tafuta simu nyingine ya kutumia na MPesa app
 
Back
Top Bottom