Mkurya romantic
Member
- Jul 21, 2022
- 41
- 61
Nina uelewa mpana kidogo juu ya html na CSS ila ni mgeni kweny js na php
Kweny practice zangu upande wa forms hua natumia attribute ya required ili kufanya validation lakin naona kama sio unyama saana maana nataka n create alert yangu mwenyew pale form inapo fanyiwa submit pasipo kujazwa baadhi ya field
Naombeni muongozo wenu aseee
NB: am beginner on this issue
Nawasilisha🙏🏽