Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Habari wana Jf doctor?
Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda wa kama wiki sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem za siri (njia ya haja kubwa), nimejaribu ku2mia sabun tofaut lakn wapi, naombeni kwa mwenye ujuzi wa dawa au sabun za muwasho anisaidie,
nipo chuoni so natumia mabafu na vyoo vyakushare(watu wengi)...
Wewe ni ke au me?
Wewe ni ke au me? Kama ni Me shika bomba la uume wako afu uuminye kama unaukamua kuelekea mbele.....ukiona unatoa majimaji yaliyo kama usaha ujue mambo tayari. Mbali na hayo ni vizuri kwenda hospitali kupata ushauri wa daktari.
Lol.. Kama ni me utaconclude vipi?
Dawa ni kujikuna tu. Kila uwashwapo we jikune.
Mie ni mwanaume mkuu, na sidhan kama ni tatizo la magonjwa ya ngono, bt ntajaribu mjumbe ushaur wako.
Jaribu tu mkuu ili kujiridhisha! Haya magonjwa sometimes unaweza kuyapata kwa ku share vitu ambavyo ni contaminated. Mfano; sabuni, mataulo, leso, bafu moja ambalo halifanyiwi usafi kikamilifu.
Japo njia kubwa ni ya kufanya ngono na mtu mwenye maambukizi.
nakushauri ukapime minyoo. Nina uhakika utakua nayo kama ndio tumia dawa za minyoo.
Acha kuvaa bukta zito, vaa boxer au chupi. Vizuri utafute zile za VIP
kunywa dawa ya MINYOO. Tena kanunue right now. Itaisha iyo.
kunywa dawa ya MINYOO. Tena kanunue right now. Itaisha iyo.