Wakuu msaada,jana nilikuwa natumia computer lakini ghafla ikazima yenyewe,so baada ya hapo kila nikiwasha inaonyesha mwanga mwekundu kwenye button ya kuwashia,nimejaribu kuipumzisha kwa muda mrefu sana lakini bado vilevile,msaada wenu wakuu
Haitoi mlio wowote unavyowasha..kama beep flani hivi?!afu dell ndo zina huu mtindo sana...hapo mara nyingi inakuwa ni either power supply ime shot au kumetokea fault kwenye motherboard au processor..sasa kujua ni wapi sahihi hapo inategemea na utundu wako wa ku troubleshoot pc, kama huelewi inakuwaje kabisa ni bora utafute mtu anaejua mambo haya akusaidie..