tafta ROM unlockedNina tecno N2 ambayo ipo locked kwa mtandao wa Tigo, naomba msaada wenu wa jinsi ya kuunlock
Nenda kwa mafundi wa software wakusaidie kuunlock uwaachie hata ya chai ,maana kama huna software za kuunlock or cracks na drivers hutofanikiwa mjombaNina tecno N2 ambayo ipo locked kwa mtandao wa Tigo, naomba msaada wenu wa jinsi ya kuunlock
NCK cracked box inatoa sekunde tu...Nina tecno N2 ambayo ipo locked kwa mtandao wa Tigo, naomba msaada wenu wa jinsi ya kuunlock