Msaada Kuunganisha Line mbili kuwa moja,,!!

Msaada Kuunganisha Line mbili kuwa moja,,!!

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,319
Reaction score
847
Kaka yenu baada yakujikwamua kutoka mikononi mwa mChina yaani Tecno N3 na hatimae kuangukua peponi kwa Mkorea yaan Gallaxy ACE 2 kashindwA kuendelea kuwa ktk Line zote yaani tGo na Voda alizokua kazoweleka,,hali hii inampelekea kutokuwa huru kwny mawasiliano coz wakusoma weng wanamjua kwa Line ya tGo ila watu wazma wenzie ni voda,,kitu hii inamnyima fursa kuwa close na jamii,, Hivo basi anOomba saana mweny kujua wap? shiling ngp? kwa Morogoro wanapoweza muunganishia line hzo mbili kuwa moja apate kuwa huru,,,Plz nid mo ur help,,,
urz sincerlly,,
Elder broo,,,
 
KWA NJIA Ip mkuu hebu fafanua ,au kuzidivert?kuwa muwaz pengne naweza kukusaidia
 
Hivi kuna huduma hiyo bongo hii..!??
 
Impossible. Tafuta tu kasimu kadogo uweke hiyo laini ya " wa Kusoma"
 
KWA NJIA Ip mkuu hebu fafanua ,au kuzidivert?kuwa muwaz pengne naweza kukusaidia

hua naona wanakata vinakuwa vidoggo zen kuna kachombo wanaviunganisha humo,,,maIT vp tena humu jamani,,tuacheni ce vilaza wa HKL tubakie kuulza2
 
hua naona wanakata vinakuwa vidoggo zen kuna kachombo wanaviunganisha humo,,,maIT vp tena humu jamani,,tuacheni ce vilaza wa HKL tubakie kuulza2
Nipo interested kujua hako kachombo na wanavyokata, miye ninachojua ni kukata line kubwa kuwa micro sim ila kuunga line mbili mhhh, Nasikilizia.
 
Labda ungewasiliana na hayo makampuni mawili ya simu yakubaliane kukuingizia program zao kwenye module moja.
 
Hii huduma ipo kuna wakati ilikuwa maarufu sana kwa mawakala ila sasa naona watu wako.busy na maney transfer
jaribu mtafuta wakala anaweza kukupa clue
 
Impossible. Tafuta tu kasimu kadogo uweke hiyo laini ya " wa Kusoma"
kuna watu huku mwanza nilisikia wanaweza unganisha line mbili inakuwa moja lakini zote zinakuwa hewani, mie siamini kwa sababu labda sijawa interested kufuatilia zaidi, lakini hakuna linaloshindikana chini ya jua...

BTW: suggestion yako ndio kama yangu
 
Naona hiyo itakuwa huduma mpya hapa Bongo na kwenye mitandao sehemu nyingine duniani
 
kuna watu huku mwanza nilisikia wanaweza unganisha line mbili inakuwa moja lakini zote zinakuwa hewani, mie siamini kwa sababu labda sijawa interested kufuatilia zaidi, lakini hakuna linaloshindikana chini ya jua...

BTW: suggestion yako ndio kama yangu

Kuna huduma hiyo lkn inarahisisha kubadili bila kuzima simu na sio kuwa hewani line zote kwa wakati mmoja.
 
Kweli hiyo huduma ilikuwepo na nilishawahi kuitumia miaka kama 6 nyuma kwenye mokia kitorch vya mwanzo kabisa na nipita huduma hiyo Kariakoo hapa Dar ambapo unanunua Double Line Socket ambayo ndani yake inakuwa na microchip hivyo basi zinachukuliwa sim card za simu zinakatwa kama wanavyofanya baadhi ya makampuni ya simu kwa ajili ya sim card special za smart phone kisha zinaingizwa kwa socket hiyo na kisha inawekwa kwa sehemu ya sim card kwa cmu kisha ukiwasha sim katika menu kunakuwa na option ya STK amayo ndio inaicontrol hizo simu card.

Nawakilisha...
 
Ni kweli hata mimi huduma hii niliitumia miaka 9 iliyopita kwenye Nokia 3310.
 
Back
Top Bottom