Wana JF nina CCTV ambazo zinatakiwa kuunganishwa kwenye internet ili nikiwa kwenye misele mingine niwe naona nini kinaendelea dukani. Kwa faida ya wana JF wengine waweza unaweza weka details zako tukutafute wenye shida zinazofanana.
Basi kama wewe ni mtaalamu waweza ni PM pia.