P Pembe 7 Member Joined Apr 29, 2017 Posts 44 Reaction score 88 Aug 16, 2018 #1 Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina tablet ya kichina inaitwa xcody tatizo nimeweka line ya halotel inakataa kushika network...kuhusu mtandao wa internet haina shida,naomba msaada wenu wajuzi humu nifanye nini?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina tablet ya kichina inaitwa xcody tatizo nimeweka line ya halotel inakataa kushika network...kuhusu mtandao wa internet haina shida,naomba msaada wenu wajuzi humu nifanye nini?