Yap, inayo uwezoSimu yako ni Model fani? je in uwezo wa ku-Act kama Access Point??
Hii ninayotumia haina CD yake. Imetengenezwa na G'BEST & MBO.
But why isiweze while COM Port ni ya kazi hiyo!
kuna jamaa alishawahh kuwa na cm ya kichina design iyo alifanikiwa kakin top speed ya voda kwenye idm with full network ilkua inabahatisha 20 kb/s mana mchina hakuspecialze sana kwenye speed kanunue modem 25000 uenjoy top speed hata 600 kb/s

Com port sio tatizo. Tatzo n kwamba uwe na hyo software. Maana huwez kufungua kwanza browser kama pc suid bado haija conect mobile na pc. Nenda google na uitafute pc suite ukishindwa tafuta m2 mwenye nayo u coppy. Then ujue kuwa pc suit ina umuhmu sana kwan waweza ku update software ya nokia yako kupitia hyo. Pia unaweza send sms na kupiga cmu kupitia hyo.
Nokia yako ina 3G. Tumia Joikuspot kama nilivyoeleza hapo juu utafurahi. Utaachana na ma-cable. NB: Laptop yako iwe na Wi-fi.mi nna nokia C7.. inanizingua kuconnect net kwenye my laptop through nokia pc suite... inasema hairecognize modem device though ikiwa data transfer or mass storage inakubali uzuri tu
PLZ HEEEEEELP