H https Member Feb 21, 2014 93 111 May 23, 2017 #1 Hbr wakuu, Naomba anaejua kutumia built-in satellite ya smart TV anisaidie na mie nifaidi teknolojia hii. Natumia TV ya LG, hiyo feature IPO ila nashindwa kui set ifanye kazi
Hbr wakuu, Naomba anaejua kutumia built-in satellite ya smart TV anisaidie na mie nifaidi teknolojia hii. Natumia TV ya LG, hiyo feature IPO ila nashindwa kui set ifanye kazi