deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 511
Msaada.. Natumia blackberry 9780 kama modem kwenye laptop ila inakua inatumia bundle za kawaida au kukata ela iliyopo kwenye simu.. Sasa naomba msaada ntawezaje kuwa natumia internet kwa bundle za blackberry yani isikate ela kwenye simu?? Natumia mtandao wa airtel.