Msaada: kutoa text 'unfortunately google service has stopped'

Msaada: kutoa text 'unfortunately google service has stopped'

lyahanze

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
43
Reaction score
4
Salama wakuu!
simu yangu ni HUAWEI ASCEND G510.
Nimekuwa nikipata hyo sms ya kustop kwa programs unfortunately mfululizo,mara google,home page,nk.
nimereset haijakubali, nimepeleka kwa mafund zaid ya watatu waiflash kakin inagoma..haipokei mafile ya driver yaishe..inasoma nusu na inagoma'
Je.nifanyaje? mwenye ujuz anishaur...
 
nenda kwenye applications then uninstall Google play services af install tena ambayo ni latest ..au fanya tu ku update Google play service.
 
nenda kwenye applications then uninstall Google play services af install tena ambayo ni latest ..au fanya tu ku update Google play service.

mkuu nimejarbu haijakubali. tena nimejarbu hata kuiflash kabsa pia imeshndkana!
 
nenda kwenye applications then uninstall Google play services af install tena ambayo ni latest ..au fanya tu ku update Google play service.

kwa sasa karbu program zote znaandika unfortunately stoped
 
Hata mimi simu yangu aina ya Huawei ascend 600 ina tatizo hilo hilo,nadhani hizi simu zina tatizo hilo,wazoefu njooni mtoe mwongozo nili delete Whatsup ku install upya imeshindikana
 
nilipata tatizo ila nikaroot xperia clone yangu nikatumia root uninataller nikafuta takataka yoyote inayoitwa google play wala store nikarestart simu mambo yakawa poa nikitaka appsa naingia apa androiddrawer.com
 
Kuflash huawei unatumia memorycard tu, rom download kwenye website yao kisha extract, halafu copy folder la dload na vitu vyake vya ndani paste kwenye memory card, zima simu ingia download mode halafu flash.
 
mkuu nimejarbu haijakubali. tena nimejarbu hata kuiflash kabsa pia imeshndkana!

mimi nilikua nnalo hlo tatizo nikaflash Gaps mambo yakawa poa..ilikua natumia custom ROM hvyo ilikua rahisi kusolve.....wewe root simu hyo na utoe ujinga wote wa Google then uweke upya ..Au uwakakache Google mazma kama unaweza ishi bila Google...otherwise flash ROM kutoka kweny site yao then ufanye kama mkwawa alivyosema...weka dload kweny memory card then flash .
 
karibu kibaha hilo tatzo la kustop kwa programs unfortunately mfululizo litaisha.
 
karibu kibaha hilo tatzo la kustop kwa programs unfortunately mfululizo litaisha.

ungetoa solution hapahapa jamvini ndo tunavyofanya..sasa kama mtu yuko kigoma atoke aje kibaha kusolve issue kama hyo.
 
Nilikuwa na hilo tatizo kwnye Huawei nilichogundua memory card ndio ilikuwa na matatizo,so toa memory card thn badili default storage yako iwe ni internal memory.
 
Back
Top Bottom