anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 641
Juzi nimeifanyia manuva miracle box ... nimefake fake maujanja mengi sana mpaka start button imetokea kuonyesha ipo tayari kufanya kazi
Lakini sijawah kuitumia hii software
nikajaribu kuzima simu yangu (samsung s3) kila nikichomeka usb inaingia charge tu... huku kwenye software sioni kitu
Msaada wenu jamani
nimezoea kutumia odin kwa samsung tu... ila hili kombora sjui nafanyaje