Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Jan 28, 2013 #1 wakuu mwenye link ya watu wanao toa education online ya mambo ya computer aweke hapa basi lkn waisiwe wanatoa degree bali elimu chini ya hapo pia itapendeza ukiongelea na malipo pia
wakuu mwenye link ya watu wanao toa education online ya mambo ya computer aweke hapa basi lkn waisiwe wanatoa degree bali elimu chini ya hapo pia itapendeza ukiongelea na malipo pia
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Jan 28, 2013 #2 mkuu best ni hawa W3Schools Online Web Tutorials sema wanafundisha language za computer tu hawafundish mambo mengine na ni bure wanatoa certificate
mkuu best ni hawa W3Schools Online Web Tutorials sema wanafundisha language za computer tu hawafundish mambo mengine na ni bure wanatoa certificate