Msaada: Kuruka kamba kunapunguza tumbo?

vantz

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
1,107
570
Nahitaji kupunguza tumbo tuu, kuna uzi nilisoma huku wa kunywa maji ya moto asubuhi, nafanya hivyo kila siku ila wengi naona wananishauri kuruka kamba, nina siku ya 3 naruka 130/150 ila hili la kuruka kamba ni kweli linapunguza tumbo?

NB; nataka kupunguza tumbo tuu.

Shukrani.
 
Inapunguza mkuu ila kama unauwezo endesha baiskeli hasa maeneo ya mlimani hutokuja kupata kitambi
 
Nahitaji kupunguza tumbo tuu, kuna uzi nilisoma huku wa kunywa maji ya moto asubuhi, nafanya hivyo kila siku ila wengi naona wananishauri kuruka kamba, nina siku ya 3 naruka 130/150 ila hili la kuruka kamba ni kweli linapunguza tumbo?

NB; nataka kupunguza tumbo tuu.

Shukrani.
Anza kukimbia asubuhi au jioni
 
Ni vizuri miguu iwe 45 degrees halafu unatakiwa uingangamaze na kuirudisha chini taratibu na kichwa kiwe juu kidogo si chini kwenye sakafu/carpet na mikono umeibananisha pembeni ya kiwili kama askari vile nayo iwe imengangamaa. Ukipiga hizi 30 asubuhi na 30 jioni kama una kitambi chenyewe kitaanza kuomba samahani na kutafuta njia ya kutokea. Ila ni muhimu kula healthy pia na kuacha kufakamia kama vile mwisho wa kula duniani umebaki 48 hours tu kuwadia.

Kuna nyingine unalala chali miguu ikigusa ukuta uniinua miguu 90 degrees na kuirudisha chini
 
Back
Top Bottom