Sema Ulienda Wapi Nikupe Mawazo Ndugu Au Ni Pm Nikuelekeze
Wadau mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari niliacha kazi kama miaka minne iliyopita, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi.
Saa hizi nahitaji tena karudi kufanya kazi Serikalini je ntapokelewa, na maombi natuma kwa nani, Tamisemi au kwa Katibu Mkuu?
hilo.linawezekana kurudi.
naomba uniambie toka ulivoondoka je mshahara uliendlea kupata.. kama ulistishwa..walistisha lini..
Na jw ulishawahi.kukopa
?
mhhh ulithibitishwa kazin na kupewa tsd namba?
Ulijaribu Kurudi Kituo Chako Cha Kazi??
kwani ulipatwa na nini mwalimu ukaamua kufanya maamuzi hayo au ilipiga mkwanja wa voda millionaire?
nilikopa benki kama mbili, mshahara umesitishwa mwezi wa pili
Ulijaribu Kurudi Kituo Chako Cha Kazi??
Mwezi wa pili mwaka huu.?kama ndio..rudi.kazini onana na mkuu wa shule kwanza.
baada ya hapo waweza onana na afisa elimu pamoja na mkurugenzi husika.
Ni vemaa ukandaa sababu za msingi.za kutoonekana niaka minne.
Unaweza kunisaidia sababu hizo ili niweze kuandaa hiyo barua nimeshindwa kisaikolojia cko vema