Msaada kurestore simu

Msaada kurestore simu

Brez

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
41
Reaction score
4
Wana jf naomba msaada kwa anaejua pin code za kurestore nokia c1-01.msaada wenu tafadhali.
 
*#7370# alafu press dial itakuuliza code tia 12345 . Mie yangu ilikubali


Sent via EyePhone
 
Nimetry kuingiza *#7370# ikaomba pin lakini nimetry 12345 na 00000 imeshindikana kaka,
 
Kaka hii ngoma itabidi uende kwa duka la Nokia au Sapna.


Sent via EyePhone
 
Kama Imekataa hz Code ulizoambiwa basi hiyo simu inawezekana ulinunua kwa mtu, na huyo mtu alibadilisha Security Code.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom