Simu yangu inashida
Wasubiri watakuja kukusaidia
- Kuna njia tatu za kuweza tumia ku_reset Iphone 5
- Pitia hii link | iPhone 5: How To Hard Reset On iPhone - ITJungles
Mkuu kwani inatatizo gani hadi ufanye hard resetAsanteni wapendwa yaan mambo yamekuwa mengi kichwani nilijisahau kama naandika kuomba msaada,kwakweli bado sijamalizia kuandika ombi langu ila nashukuruni nilikuwa nataka kujua jinsi ya kureset manually coz nikienda kny general af reset naambiwa niandike passcode na hizo pascode me sizijui