Msaada kurekebisha nokia asha 302

Msaada kurekebisha nokia asha 302

Joined
Feb 17, 2015
Posts
35
Reaction score
11
Wadau napenda kutangulza shukran zangu za dhat kwenu! Nimekua nikipata msaada zaid kupitia nyinyi!!!
Leo nimekuja na mada nyingne.
Nina sim angu aina ya asha 302 ilikua ikifany kaz vzur ila kuna siku nikiwa katka matumiz ya intanet cm ili stuck ksha ikaandka conflict in OS. Nlijaribu kutoa betr na kuwasha tena cm lakn apps zote za intanet kama browser na store zikaw hazfany kaz tena zinastak tu!!! Nisha fanya hard reset lakn bado tatzo lipo!!! Kwa sas naitumia kwa matumiz mengne ya kawaida ila kwa matumiz ya intanet ndo cwez!! Nsaidien tafadhar
 
Back
Top Bottom