Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti.
Kwanza unatakiwa kuwashtaki hao NIDA, mkuu. Ni kosa la jinai kukosewa jina lako kwa uzembe kiasi hicho, tena kwa chombo chenye dhamani kubwa kama NIDA.
NB: Wadai hata milioni 800 huko hadi akili ziwakae.
Namba nilipata baada ya kuifuatilia maana haikutolewa mwanzoni nikaambiwa ilifungiwa kisa majina yalikosewa nikamuuliza yule mdada akasma ni kweli walikoosea wao NIDA hayaendani na kwenye taarifa zangu nilizotoa