Msaada: Kupata pesa za PPF kwa waliohamia NSSF

Msaada: Kupata pesa za PPF kwa waliohamia NSSF

kelvin Brown

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Wakuu habari za leo? Wakuu leo nilikuwa nafatilia malimbikizo ya pesa zangu za PPF kwenye ofisini za PSSSF hapa mbeya. Nikaambiwa kwa kuwa mimi bado ni mfanyakazi mfuko wa PPF na mfuko wa NSSF watafanya utaratibu wa kuhamisha pesa wao kwa wao.

Sasa nimekuwa nikiambiwa hvyo kila mwaka nikifuatilia hizi hela. Nilikuwa naomba kujua au kupata utaratibu kwa mtu yeyote aliyewahi kufanikiwa katika hili.
 
Hii kitu imekuwa changamoto sana na kuna sisi ambao tulikuwa NSSF sasa hivi tupo PSSSF tunaambiwa tutakuja kulipwa tukistaafu.

Pesa zetu ila tunapangiwa masharti ya kuzitumia.
 
Usipo sema mama anaupiga mwingi basi imekula kwako
 
Back
Top Bottom