Msaada:Kupata machine ya kufyatua tofali za Kuchoma.

Msaada:Kupata machine ya kufyatua tofali za Kuchoma.

Sinamboga

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
86
Reaction score
38
Habari wadauu

Tafadhalini natafuta machine ya kufyatua tofali za kuchoma kwa yoyote anayefaham naweza kupata wapi ama shirika, ngo na kwa bei gani?
Tofali za kuchoma na sio Hydro foam

Natanguliza shukrani.
 
Tz hamna Hiyo Kitu but India, Thailand na China ndio wanazo.
Kuna wakati nilipata quotation miaka kama 10 iliyopita. Nikiipata nitaituma but you can just google.
 
Ok thanks
Na type ya zile walizotumia NHC kwa mradi wao wa kibada Kigamboni waweza faham ni aina gani za mashine?
 
Zile za kibada kwa mradi wa NHC ni interlocking bricks, unajua hydrafoam ni brand name ya tofali. Lakini jamii ni moja, na zote huitwa interlocking bricks.
 
Ok thanks
Na type ya zile walizotumia NHC kwa mradi wao wa kibada Kigamboni waweza faham ni aina gani za mashine?

Mkuu hizo mashine kuna kiwanda kinatengeneza hapa China.

Kama unataka, tuwasiliane (info@g12.hk).

Tukijitahidi sana kukupatia hiyo mashine ni ndani ya siku 28, nje ya hapo hatuwezi.

Karibu.
 
Habari wadauu

Tafadhalini natafuta machine ya kufyatua tofali za kuchoma kwa yoyote anayefaham naweza kupata wapi ama shirika, ngo na kwa bei gani?
Tofali za kuchoma na sio Hydro foam

Natanguliza shukrani.
mrejesho,ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom