george chambila Member Joined Sep 27, 2014 Posts 27 Reaction score 2 Mar 17, 2015 #1 nipo dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hcho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.
nipo dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hcho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.