Msaada kupata capacitor ya tv

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Naomba kujuliswa wapi nitapata capacitor ya 220 microfarad/400v
sanasana kwenye maduka ya kariakoo.
Anaejua naomba anielekeze TV Yangu ilipata hitilafu ya umeme. Kama utaweza kujua a cost yake nitafurahi ukiniambia.
 
Nenda kariakoo mtaa wa GEREZANI utazipata huko.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukshapata iyo capasitor jipnge next salary ununue stablizer kuprotect your electricity devices kama frige,tv,radio na pc yako
 
Ukshapata iyo capasitor jipnge next salary ununue stablizer kuprotect your electricity devices kama frige,tv,radio na pc yako

Nashuru kwa ushauri wako mkuu,
hata hivyo siku imeharibika hii kila kitu kilikua kwenye stablizer ilitokea neutral ilikatika kwenye transformer tunayotumia ikaja high voltage ikaharibu TV,ADAPTER YA PC,TAA na vitu vingine. Ni ushauri wa maana kabisa kwa siku hiyo stablizer yangu ilishindwa kufanya kazi.
 
Naomba kujuliswa wapi nitapata capacitor ya 220 microfarad/400v
sanasana kwenye maduka ya kariakoo.
Anaejua naomba anielekeze TV Yangu ilipata hitilafu ya umeme. Kama utaweza kujua a cost yake nitafurahi ukiniambia.

Maduka yanayouza spea za electronics kwa Kariakoo yapo hapo round about, barabara ya Uhuru. Kama unaenda mnazi mmoja ni mkono wako wa kulia, hayo yote yana deal na uuzaji wa vifaa vya electronics zikiwemo capacitors na Ic. Hapo lazima utapata hio capacitor.
 
Utapata duka la HUZEFA lipo mtaa wa aggrey karibu na azam bakhresa Livingstone hazina bei sana haizidi elfu 20
 
hiyo filter kwa Arusha ni kama TSHS 4000/=
 
Ni kweli stabilizer zina kiwango cha kuhimili misukosuko ya umeme. Mimi pia miaka michache iliyopita ilipiga radi kipindi cha mvua umeme mkubwa uliingia kwenye grid ukafumua stabilizer, tv, vhs deck, dvd player, home theatre system nk. Sio kwangu tu kila nyumba mtaa wote ilikuwa kilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…