J James Mwidoro Member Joined Aug 22, 2016 Posts 71 Reaction score 93 Jan 2, 2017 #1 Wakuu nina shida ya betri ya aspire 5732z, kwa mwenye kujua duka napoweza pata kati ya Mwanza, Dodoma, Tabora ama Kigoma naomba anielekeze maana ndio mikoa karibia muda mwingi nakuwepo
Wakuu nina shida ya betri ya aspire 5732z, kwa mwenye kujua duka napoweza pata kati ya Mwanza, Dodoma, Tabora ama Kigoma naomba anielekeze maana ndio mikoa karibia muda mwingi nakuwepo
B benjaminmathayo Member Joined Dec 23, 2016 Posts 19 Reaction score 7 Jan 10, 2017 #2 Atakaye kuwa anauza hizo betteu la laptop na mm nahitaji laptop yang no dell insplron n5030
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,259 Jan 10, 2017 #4 Pitieni huu uzi [emoji116] Nauza battery za Laptop aina zote
T Tiganize Member Joined Dec 31, 2012 Posts 10 Reaction score 2 Jan 10, 2017 #5 Mwenye kioo cha Acer E1-531 nahitaji Niko kahama