steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,629
Kuna ndoto niliiota sijajuwa maana yake
Kunasiku niliiota nimepanda Basi nimeenda mbali na nyumbani huko nilikoenda ni wapi sijui
Nilipofika huko nikaanza maaisha lakini Cha ajabu nikipita mitaani huko nilikoenda kilamtu ananiheshimu wakubwa kwa watoto Kama Kuna shuguli wanafanya wanaacha wananiangalia Mimi huku wakiwa wanafurahi na Kama wana niheshimu vile
Nikajalibu kuwauliza Mimi ni Nani mbona wananiheshimu saana hao watu hawakunijibu wakawa tu wananiangalia huku wakifurahi
Hii ndoto inatoa taswira gani
Sent using Jamii Forums mobile app