Msaada: kuna umuhimu wa kuattach certified Intelligence Aptitude Test?(IAT)

soul provider

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
1,347
Reaction score
2,161
Salam wakuu!
Nimekuwa shortlisted kwenye NGO flan hivi hapa Dar, wamenitumia staff entry assessment form ili kuijaza. Ila kikubwa kinachoniumiza kichwa Ni hii inshu ya kuattach certified Intelligence Aptitude Test (IAT). Je kuna ulazima wa kuwa na hio certified IAT? Maana nimefatilia jinsi ya kupata certificate yake ni $72 (Tshs184,226). Hakuna utapeli wowote hapa?

Msaada tafadhali!
 
Ulikuwa shortlisted na Matapeli, sio NGO... Bt jamani unapaswa kujua kuwa hakunaga shortlisted person anayetakiwa kutoa pesa yeyote ile kwa ajili ya kitu chochote kwa ajili ya interview... Sijui verification, mara nni... Hakunaga hicho kitu!
 
Ahsante nitalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…