mariam steven mgonglwa
Member
- Oct 18, 2017
- 24
- 5
Jamani nasumbuliwa na koo kuna kitu kinanikaba nilikwenda hospitali niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo hazikunisaidia naombeni ushauri wenu watalaamu.
Jamani nasumbuliwa nakoo kunakitu kinanikab nilikwend ospitar niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo azikunisaidi naombeni ushauli wenu watalaam
Pole dada mariam... kama kweli unataka msaada... rekebisha uwandishi..then kichwa cha habari rekebisha... usiandike *mariam*.. kwa maana hilo ni jina....Jamani nasumbuliwa nakoo kunakitu kinanikab nilikwend ospitar niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo azikunisaidi naombeni ushauli wenu watalaam
Thanks kwa kunikebishPole dada mariam... kama kweli unataka msaada... rekebisha uwandishi..then kichwa cha habari rekebisha... usiandike *mariam*.. kwa maana hilo ni jina....
Minyoo kwenye koo? Nenda hospitali nyingine tofauti na hiyo wajaribu kuchunguza na kukupatia matibabu labda utapona.Jamani nasumbuliwa nakoo kunakitu kinanikab nilikwend ospitar niliambiwa minyoo nilipewa dawa za minyoo azikunisaidi naombeni ushauli wenu watalaam
Thnks kwakunielewa bro sikuzote mgen lazm uchekwe ujifunze keshoTujitahidi kumwelewa mgonjwa..possibly kapata advice aje JF atapata msaada so tusiwaze sana uandishi wake as long as ameeleweka. [HASHTAG]#focusonthepositivepart[/HASHTAG]
Niko iringa ndugUko mkoa gani?
Hapo iringa ulienda Hosp gani? Pale government au sokon dispensary au aga khan au frelimo? Njoo PMNiko iringa ndug
Nimekwend telethia ospitar nikaend ipogor ipambaHapo iringa ulienda Hosp gani? Pale government au sokon dispensary au aga khan au frelimo? Njoo PM